CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE DALILI NA MADHARA

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE DALILI NA MADHARA - Tanzania
  • CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE DALILI NA MADHARA - Tanzania
Description :

CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE,DALILI ZAKE MADHARA YAKE NA TIBA ASILI ....✍️?...✍️...?✍️..?
⚫Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
⚫Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-⤵⤵
1⃣Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake(Hedhi).
2⃣ Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
3⃣ Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika,kuna wakati huchelewa na kuna wakati huwahi.
4⃣Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi.
5⃣Kupatwa hasira kali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
6⃣Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
7⃣ Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
8️⃣ Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
9️⃣ Kupata uvimbe kwenye kizazi
?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
1⃣1⃣ Maumivu makali chini ya kitovu/kwenye kinena.
1⃣2⃣Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa.
1️⃣3️⃣ Kujisaidia choo kigumu

MADHARA YA CHANGO KWA WANAWAKE
➡️Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
➡️Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa.
➡️Kuingia na kutoka kwa mimba
➡️Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni.
➡️Kuwa na uke mdogo sana.
➡️Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kupata uvimbe kwenye kizazi.
➡️Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi.
➡️ KUPATA Bawasiri kutokana na kupatwa na choo kigumu

TIBA NA USHAURI.
Kuondoa tatizo la Chango la Uzazi itahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu baada ya kujua chanzo cha tatizo hili ,Pia tunazo dawa za asili/naturalCeutical utakazotumia kumaliza tatizo lako baada ya kupata ushauli wa daktari.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data