CHANGAMOTO ya Ngiri/Hernia Na Tiba yake

CHANGAMOTO ya Ngiri/Hernia Na Tiba yake - Tanzania
  • CHANGAMOTO ya Ngiri/Hernia Na Tiba yake - Tanzania
Description :

Ngiri (Hernia)/Ugonjwa wa ngiri ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi hali inayopelekea nyama nyama zilizopo kwenye viungo hivyo kujipenyeza kupitia sehemu dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili.

Hali hii ndio hupelekea kuibuka kwa ugonjwa huu.Ziko aina nyingi za ngiri kama zionekanavyo kwenye picha.Ugonjwa huu wa ngiri unawapata wanaume na wanawake wa rika zote.

Ngiri hutokea zaidi maeneo yafuatayo ⤵️ ;

➡️ Eneo la kifua(Hiatal hernia)

➡️Eneo la kitovu(Umbilical hernia)

➡️Eneo la paja kwa juu(femoral hernia kwa wanawake na Scrotal hernia kwa wanaume).

➡️Eneo ambalo uliwahi kufanyiwa upasuaji.

➡️Eneo la tumboni n.k

SABABU ZINAZOWEZA KUPELEKEA KUPATA UGONJWA WA NGIRI.

Ngiri huchangiwa zaidi na udhaifu wa misuli au mishipa iliyoshikilia viungo au maeneo ya mwili pamoja na ongezeko la presha katika viungo vilivyo dhaifu vya mwili (Muscle weakness/Fascia).

Hivyo huwapata zaidi watu walio katika mazingira yafuatayo⤵️;

➡️Kuwa na uzito mkubwa/Kitambi.

➡️Kunyanyua vitu vizito/kufanya mazoezi mazito.

➡️Kupata choo kigumu/kuharisha.

➡️Ulaji usiofata taratibu za kitabibu.

➡️Uvutaji sigara.

➡️Kuwa na umri mkubwa.

➡️Eneo liliwahi kufanyiwa upasuaji.

➡️Kuwa mjamzito.

Sababu zote hizi hupelekea kudhoofu misuli au viungo vya mwili na kupelekea tatizo hili kujitokeza.

TIBA YA NGIRI.

Tiba ya ngiri inahusisha kutoa kinyama na kuimarisha mishipa iliyo dhaifu mwilini.

Kujipenyeza kwa kinyama na udhaifu wa misuli hurekebishwa kwa kufanyiwa upasuaji pamoja na hatua zingine za kitabibu lakini mara nyingi procedure hii hufanya tatizo hili kurejea baada ya miaka kadhaa.

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI.

Watu wenye kusumbuliwa na ugonjwa wa ngiri mara nyingi hupata moja ya viashiria vifuatavyo⤵️;

1.Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2.Kupiga mingurumo tumboni.

3.Kujaa gesi tumboni.

4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5.Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7.Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8.Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9.Nuru ya macho hupotea taratibu.

10.Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11.Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12.Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13.Maumivu makali ya mgongo au kiuno.

14.Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto.

DALILI ZA CHANGO/NGIRI KWA WANAWAKE.

➡️Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia Katika siku zake za hedhi.

➡️Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa.

➡️Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika.

➡️Hujisikia homa kali

anapokaribia siku zake za hedhi.

➡️Kupatwa hasira kali/
jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

➡️Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

➡️Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.

➡️Kuchukia kushiriki tendo la ndoa.

Kushindwa kupata au kuchelewa kupata tiba ya haraka ya ngiri au chango huweza kupelekea moja ya madhara yafuatayo.

Moja ya madhara yanayoambana na uwepo wa ngiri kwa muda mrefu kwa wanawakeni pamoja na;

?Kushindwa kushika mimba, mimba kutunga njee ya mfuko wa uzazi, kupata uvimbe kwenye kizazi na kuharibika kwa mimba kwa mwanamke mara kwa mara.

?Huku, wanaume wakikabiliwa na utoaji wa mbegu chache na nyepesi ambazo haziwezi kutungisha mimba (Low sperm Count) pamoja na uume wake kusinyaa na kuwa mdogo.

Muhimu zaidi.

Ipo mimea tiba yenye uwezo mkubwa wa kutibu na kuimarisha misuli iliyo dhaifu na kuipa uhimara.

Tiba hii ina uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo la ngiri

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data