Transaction Typesell
Area416 m2
⚫Anza Kwa kulipa laki tano
⚫Viwanja hivi vipo nyuma ya ukuta wa ikulu, km 1 kutoka unapoishia ukuta wa ikulu.
⚫Vipo 4 km kutoka barabara ya Morogoro.
⚫Viwanja vimepimwa na vina hati
⚫ Kutembelea site ni kila siku
⚫Vipo Viwanja vya ukubwa na size mbalimbali
⚫ Bei yetu ni [email protected] sqm
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Chekeni Mwasonga,Mbutu..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya..Kibaha Mkoa wa Pwani Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani, Misugusugu, Mapinga na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Ihumwa na Itega.