Buyuni Beach Plots / Viwanja Buyuni Beach

Buyuni Beach Plots / Viwanja Buyuni Beach - Tanzania

 • Buyuni Beach Plots / Viwanja Buyuni Beach - Tanzania

Transaction Typesell

Area700 m2

Description :

Kwetu Life Land Limited,
inakukaribisha kwenye mradi wa viwanja Kigamboni Buyuni (Buyuni beach plots).
Sasa tuko kwenye bei punguzo la hadi 35%.

Sifa:
- Dk 45 kutoka feri ya Kigamboni
- Kilomita 1 kutoka soko kuu la samaki (Baharini) / Buyuni Center.
- Usafiri wa umma (daladala) zipo nyingi sana mpaka kwenye mradi.
- Eneo ni tambarale zuri sana kwa ujenzi.
- Umeme umefika
- Eneo ni la makazi na kumeshaanza kujengwa.
- Eneo lote limepimwa na kila kiwanja kina pin
- Ukubwa wa viwanja ni sqm 500,600,700,800, na 900.

Malipo:
Viwanja vyote ni bei moja 5,000,000.
wahi uopoe kiwanja kikubwa kabla havijaisha.
Malipo kwa cash (Utapata punguzo kidogo) Au
Kwa awamu bila riba miezi 12 (Mwaka)

UAMINIFU na UKWELI Kwetu ni 100%

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data