Transaction Typesell
Area1500 m2
Description :
⚫ Viwanja ni vikubwa na vinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara.
⚫ Vipo karibu na hospital ya wilaya ya Mabwepande.
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometre 5 kutoka Barabarani.
⚫Malipo ni cash au kwa installment.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Viwanja vinepimwa tayari na utapata hati kwa jina lako
⚫Bei ya viwanja ni 30,000/SQM
⚫Tuna viwanja maeneo mengine kama Misugusugu Kibaha,Madale Mivumoni, Mapinga Bagamoyo, Vikawe , Sofu Picha ya Ndege, Pangani Kibaha...Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Iyumbu, Kitelela, Mahoma Makulu.