Description :
Jipatie Bone Conduction earphone
Ni nzuri hazichoshi Masikio 💎
Haziingii ndani ya sikio 💥
Zinafaa kwa kufanyia mazoezi ✅
Zina mic 🎙️ Strong
Haikuzuii kusikia sauti za nje
Ni nzuri kwa kutumia ukiendesha chombo cha moto Pikipiki/Magari n.k
Jipatie kwa Tsh 35,000/=
📦 Free delivery in Arusha