Description :
Wireless Bluetooth earphones
Aina ya Bone Conduction
Ni aina mpya ya Wireless earphones
Ambazo hazichoshi na haziumizi masikio
Zina kaa nje ya sikio
Ni nzuri kwa mazoezi na matumizi ya kawaida
Zinakaa na Charge 8-10 hrs
Nauza kwa gharama ya Tsh 40,000/=
Napatikana Dodoma mjini ila natuma mikoani