Bidhaa Za Afya Ya Uzazi

Bidhaa Za Afya Ya Uzazi - Tanzania
Bidhaa Za Afya Ya Uzazi - Tanzania
  • Bidhaa Za Afya Ya Uzazi - Tanzania
  • Bidhaa Za Afya Ya Uzazi - Tanzania
Description :

Kwanini mtu anakosa nguvu za kiume:
endapo mwanaume anashindwa
kusimamisha uume (penis),uume kukosa
nguvu ya kutosha kuingia ndani ya
mwanamke au kushindwa kurudia tendo
la ndoa baada ya kumaliza bao moja
(kukojoa mara moja), huyu tuna mwita
anaupungufu wa nguvu za kiume
(importency).

kusimama kwa uume kunatokana na mapigo
ya moyo kupanda baada ya mtu kupata
ashki ya kufanya tendo la ndoa(sex
arousal), hivyo basi moyo husukuma
damu nyingi kuelekea sehemu za uzazi
ambayo damu hio huijaza mishipa
midogomidogo ya damu (sponge-like
bodies) inayotengeneza uume(penis)

sababu zinazosababisha tatizo la nguvu za
kiume zinawekwa katika makundi mawili

*matatizo ya kiafya ya mwili (organic
causes).
* matatizo ya kisaikologia ( psychological
cause).

matatizo ya kiafya ni kama:
>magonjwa ya kisukari, (diabetes mellitus).
> ugonjwa wa presha (blood pressure).
> matatizo ya tezi dume (kama mtu
amewahifanyiwa operation)
(prostatectomy surgery),
> upungufu au mvurugiko wa uzalishaji
homoni za uzazi (hormonal insufficiencies
/hypogonadism).
> athari za matumizi ya dawa kwa muda
mrefu ( side effect).Hasa wale ambao hutumia madawa wakijua wanaenda kusaidia changamoto walizonazo mwisho tatizo kuwa kubwa
matatizo haya kwa pamoja hupelekea
mishipa ya damu kuziba na mwishowe
misuli inakosa ngu za kuwezakusimama
na hatimae uume husinyaa.

tatizo la kifikwa (psychological reasons),

mtu anaweza shindwa kusimamisha uume
kutokana na matatizo ya kimawazo, kama
vile migogoro katika mahusiano, matatizo
ya kimaisha, tatizo hili hupelekea
wanaume wengi kukojoa kwa haraka sana na kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa hivyo kushindwa kusimamisha uume baada ya round ya kwanza hali ambayo haileti raha.Lakini linatibika.

kama unachangamoto piga simu direct au wtsapp.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data