Transaction Typesell
Area386 m2
⚫Viwanja vinapakana na mikoko.
⚫Vipo mita chache kuelekea baharini.
⚫Bei yetu ni pungufu yaani 15,000 kwa kila square meter moja.
⚫ Viwanja vimepimwa tayari na hati unapata.
⚫ Unaweza kulipia cash au Kwa awamu.
⚫Site tunatembelea kila siku
⚫Vipo Viwanja vya ukubwa tofauti tofauti.
⚫ Miradi mingine ya Viwanja ipo Mapinga Beach Plot Bagamoyo, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni...Dodoma tuna viwanja maenei ya Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Chihoni, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Itega, Nala Chihonda.