Transaction Typesell
Description :
BEACH PLOT INAUZWA.
KIGAMBONI KIMBIJI CENTRE.
-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia.
-Ni beach inayogusa maji na ni mchanga safi kabisa.
-Ni nzuri kwa uwekezaji na makazi.
-Ni full upepo wa bahari.
-Ni 500m kutoka Kimbiji Centre.
-Panauzwa kwa ekari na ekari moja ni milion 400 tu.
Kama ulikuwa unatafuta beach plot inayogusa maji sasa umepata.
SITE VISIT NI KILA SIKU.