Transaction Typesell
Area2000 m2
Description :
Beach plot inauzwa.
kigamboni kimbiji.
-ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-ni beach safi kabisa na ya mchanga.
-ni nzuri kwa uwekezaji na makazi.
-ni 100m kutoka baharini.
-ni full upepo wa bahari.
-bei ni 50,000 kwa square meter.
kama ulikuwa unatafuta beach plot basi sasa umeshapata.
site visit ni kila siku.
📞 karibuni sana 🙏