Transaction Typesell
Area1248 m2
Description :
BEACH PLOT INAUZWA.
KIGAMBONI GEZAULOLE.
-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia.
-Ni beach safi kabisa na ya mchanga.
-Ni nzuri kwa uwekezaji na makazi.
-Ni 100m kutoka baharini.
-Ni full upepo wa bahari.
-Bei ni 50,000 kwa square meter.
Kama ulikuwa unatafuta beach plot basi sasa umeshapata.
SITE VISIT NI KILA SIKU.