Rooms3
Description :
INAPANGISHWA NYUMBA NZIMA (lak 2 kwa mwezi)
💥UNAPANDA GAR MOJA HAD MJINI💥
👉Unatembea tu had stend na ipo karb sana na hospitl ya wilaya✍️
💥Ipo kivule frem kumi💥
Vyumba ni v3 vya kulala
Dining na siting
Stoo na jiko
Maji na umeme
Jipsam na feni vyumba vyote
Tailiz vyumba vyote na peving
Aluminiun na vyoo vya kukaa
✍️Kifup imekamilika kila kitu✍️
0629671030