ANTI-AGING FOOD SUPPLEMENT(NMN)

ANTI-AGING FOOD SUPPLEMENT(NMN) - Tanzania
  • ANTI-AGING FOOD SUPPLEMENT(NMN) - Tanzania
Description :

*FAHAMU SIRI YA KUJITUNZA KUENDELEA KUONEKANA KIJANA.*

*Faida za NMN :-*

1. Kuongeza metaboli ya Mafuta mwilini NMN inasaidia kuvunjavunja Sukari kuwa nguvu katika mwili.

2. Huzuia na kusaidia watu wenye KISUKARI

3. Ni nzuri sana kwa watu wanaotaka kupunguza mwili kwani huongeza kasi ya uyeyushwaji wa mafuta na kuzuia unyonywaji wa mafuta mwilini. Hivyo kutoa tatzo la manyama uzembe na vitambi.

4. Ni maalumu kwa kupambana na uzee (Ant aging and DNA repair)
NMN inatumika kutengeneza/kusaidia DNA zilizoharibika na kuathiriwa na matatizo mbalimbali
Kiboko ya kakunyanzi, uzee hii ndo ukomo wake.. inaondoa stretch marks, inaomdoa ngozi iliyoharibiwa na vipodozi vikali, inakupa muonekano mzuri na kirejesha ujasiri usoni.

5. SIRTUIN ACTIVATOR - Inaongeza uwezo wa Genes kufanya kazi mwilini kwa muda mrefu na hivyo kurefusha maisha, kuzuia magonjwa yanayoathiri seli hai za mwili na kuwasaidia waliokwosha athiriwa nayo.
Husaidia pia kuzuia na kupambana na magonjwa ya saratani katika maeneo mbali mbali ya mwili, kwakuongeza kinga za mwili na kuzuia uzalishwaji wa seli zisizohitajika mwilini.

6. AFYA YA UBONGO NA MOYO
Inazuia magonjwa kama dementia;
Kuimarisha Mishipa na Misuli ya damu mwilini
Inaboresha usafirishwaji wa Damu kutoka katika moyo mpaka kwenye ubongo ma sehemu nyingine za mwili, hivyo kuzuia na kusaidia matatizo kama ya Stroke (kiharusi) Paralysis (kupooza) pressure (shinikizo la juu na la chini la damu).

*#ANTIAGING*
*#Kibokoyamakunyanzi*

Wasiliana nasi kwa ushauri wa kiafya

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data