Andikiwa Matangazo Ya Kuuza Bidhaa/Huduma Yako

Andikiwa Matangazo Ya Kuuza Bidhaa/Huduma Yako - Tanzania
  • Andikiwa Matangazo Ya Kuuza Bidhaa/Huduma Yako - Tanzania
Description :

Na wewe ni moja ya wafanyabiashara unayepata changamoto ya kuandika tangazo zuri la bidhaa au huduma zako ili uweze kuziuza kwa wepesi kwa wateja wako kupitia mitandao yako ya kijamii kama instagram,whatsapp,facebook n.k au kwaajill ya kuuza kupitia blog,website au email list yako?

Vipi…..!!Umeshaandika matangazo mengi ya bidhaa zako kwenye mitandao yako ya kijamii lakini hakuna mauzo unayoyafanya,ukishare pia kwenye whatsapp groups zako mrejesho unakuwa mbovu hakuna mtu anayekutafuta hata mmoja inbox au kukupigia simu.

Sasa usiendelee kujichosha kwasababu naenda kukupatia msaada wa kuandika tangazo la bidhaa au huduma yako na utakapoenda kulishare kwenye mitandao yako ya kijamii na ukafanya sponsoring ads utakuwa na asilimia kubwa ya kufanya mauzo.

Lakini pia nitakutengeneze tangazo ambalo unaweza share kwenye magroup yako ya whatsapp na watu wakakutafuta kununua bidhaa au huduma yako kwa wepesi zaidi.

Mpaka sasa tumeshasaidia watu wengi sana haswa wanafunzi wetu 100 toka mwezi wa 2 ambao wapo kwenye masterclass na wamekuwa wakipata matokeo mazuri sana kwenye kuuza bidhaa zao katika biashara zao.

Huduma hii itakuwa na gharama ndogo sana kwa sasa, kwa wiki 1 utatakiwa kulipa 50,000/= tuu (FIXED) na utaandikiwa matangazo ambayo utakuwa unayahitaji huku ukiwa umetulia tuu na kazi yako itakuwa ni kushare kwenye mitandao yako ya kijamii,kufanya sponsoring ADS na kusubiri ODA zako.

Usikubali kuwa na bidhaa alafu unaendelea kuboronga kwenye kuandika tangazo zuri pia,chukua hatua sasa na tuanze kufanya kazi pamoja kuhakikisha bidhaa zako zinauzika kwa urahisi zaidi.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data