Aloevera Gel, Kinywaji Bora Cha Afya Chenye Aloe Vera Nyingi,( 97%)

Aloevera Gel, Kinywaji Bora Cha Afya Chenye Aloe Vera Nyingi,( 97%) - Tanzania
  • Aloevera Gel, Kinywaji Bora Cha Afya Chenye Aloe Vera Nyingi,( 97%) - Tanzania
Description :

Jipatie aloevera gel, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%)

Kinywaji hiki chenye utajiri wa virutubisho muhimu kama ifuatavyo:-
200 compounds (active enzymes), 75 nutrients, 12 vitamins, 20 minerals, 18 aminal acids (protein)

Faida zake kwa afya yako:
1. kuondoa sumusumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.

2. kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.(unakunywa nyingi kwa muda)

3. kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. Bacteria na fangasi.

4. kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
~kuondoa mafuta yanayoganda,
~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
~kupata choo vizuri na kuzuia constipation (choo kigumu), hata kwa mtoto mchanga anayesumbuliwa na chango au kukosa choo (unampa kijiko kimoja cha chai)
~kusaidia mmeng'enyo wa chakula ( virutubisho vifyonzwe vizuri)
~ kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.

5. kuongeza kinga mwilini. Na kukuepusha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara.

6. inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.

7. kusaidia wenye magonjwa ya umri km kisukari, presha, nk.

8. kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
~kuifanya iwe nyevunyevu,
~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
~kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,

9. kusaidia ugonjwa wa kupooza (stroke).
10. inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.

11. inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni. (kuna watu wanaswaki lakini bado wananuka mdomo)

12. inasaidia ukuaji wa mwili.
13. husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).

14. inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
~hufaa kwa watu wote, ( mama mja mzito anywe kiwango kidogo sana au atumie aloe berry nectar ambayo ina kiwango kidogo cha aloe vera).

15. unaweza kunywa wakati unatumia dawa za hospitali ili kusaidia kupunguza madhara yanayoambatana na dawa (side effects). Unakunywa nusu saa kabla ya kumeza dawa za hospital

Agiza sasa popote unaletewa au kutumiwa

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data