BrandAcer
Description :
Laptop ni Mpya kabisa kwenye boksi lake kutoka Marekani. Specs zake ni:
> Core i5 8th Generation
> Processor hadi 3.9 gram Hz
> Memory ni 8GB DDR4
> SSD ya 256 GB
> Screen Size 15.6 Inches
> Intel UHD Graphics 620
> 1 - USB 3.1 Type C Gen 1 port, 2 - USB 3.1 Gen 1 Ports (one with Power-off Charging), 1 - USB 2.0 Port & 1 - HDMI Port with HDCP Support
> Backlit Keyboard
> Fingerprint Reader (si lazima utumie password)
> Chaji inakaa hadi masaa 9.5 (Unaweza ukakaa nayo siku nzima sehemu ambapo hakuna umeme)
BEI: TSH. 1,450,000